TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Sunday 3 February 2013

Juzi nilialikwa katika hafla ya madada wa kihindi, eti hoo mbona unaweka madada wa kibongo peke yao

Kwanza kikalika chakula cha kihindi mwanzo mwisho
Kisha yakaja mangoma ya kihindi yanki ilikuwa baraha tupu


Zikachezwa zote za kihindi uzijuazo


Huyu dada alifunika mbaya

ilichezwa ngoma mpaka mida ya night kali

Kumbe vidole juu sio katika taarabu



0 comments: