TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Thursday 3 January 2013

Sajuki alinigusa sana---Mbunge Vicky Kamata

                                Mbunge Vicky Kamata akiwa na wasanii mahiri mbalimbali wa filamu kulia ni mtoto wake wa kwanza naye alikuwepo kwenye msiba wa Sajuki
Akiwa na wajumbe wa kamati ya msiba ambapo Vicky alipata fursa ya kutoa rambirambi zake katika msiba huo


Alipata pia kushiriki chakula cha pamoja na wasanii wenzake hao kwa kuwa Mbunge huyo pia ni msanii mwanaharakati wa masuala ya muziki na akina mama

Akiwa na Steve Nyerere

Mbunge Vicky akiwa na wasanii mahiri nchini Ray (kulia), Mzee Chilo na Rais wa Taff Simon Mwakifwamba
 
Ahaa wewe mtoto umekuwa mkubwa hivi!!! Monalisa akimshangaa mtoto wa vicky inaonekana alimuona wakati mtoto huyu akiwa mdogo sana

Mbunge Vicky Kamata aliguswa sana na msiba wa Sajuki, alikuwa mmoja kati ya waheshimiwa waliomsaidia mchango wa kwenda kutibiwa India


0 comments: